Kaizari Ferdinand I

ukarasa wa maana wa Wikimedia
Pitio kulingana na tarehe 17:11, 28 Julai 2020 na Gladys Gibbs (majadiliano | michango) (+Hans_Bocksberger_der_Aeltere_001.jpg #WPWP #WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Ferdinand I (10 Machi 150325 Julai 1564) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1558 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Karoli V, na kufuatiwa na Maximilian II.

Kaizari Ferdinand I
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.