Kay Ryan (amezaliwa 21 Septemba 1945) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2011 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Kay Ryan, 2008

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kay Ryan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.