Milton Makongoro Mahanga

Milton Makongoro Mahanga (amezaliwa tar. 3 Aprili 1955) ni mbunge wa jimbo la Ukonga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. ["Mengi kuhusu Milton Makongoro Mahanga". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu Milton Makongoro Mahanga]

Viungo vya nnje

hariri