The Pentagon
The Pentagon ni jengo na ofisi ziko katika Arlington, Virginia karibu na Washington DC. Ni makao makuu ya Idara ya Ulinzi ya Marekani.
![](https://cdn.statically.io/img/upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d2/The_Pentagon_US_Department_of_Defense_building.jpg/300px-The_Pentagon_US_Department_of_Defense_building.jpg)
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Archived 18 Desemba 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |