Nenda kwa yaliyomo

Kaizari Ferdinand I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:17, 18 Agosti 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1784636)

Ferdinand I (10 Machi 150325 Julai 1564) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1558 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Karoli V, na kufuatiwa na Maximilian II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.