Nenda kwa yaliyomo

Johannes Brahms

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:55, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 93 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7294 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Johannes Brahms

Johannes Brahms (7 Mei 1833 Hamburg - 3 Aprili 1897 Vienna) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ujerumani. Alizaliwa katika familia ya wanamuziki alianza kutunga muziki kwa ajili ya piano. Baadaye aliendelea kutunga simfonia 4 halafu muziki ndogondogo.

Nje ya kutunga muziki alipiga piano na watu walipenda kumsikiliza.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Brahms kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber