Nenda kwa yaliyomo

Hermann Emil Fischer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 07:38, 2 Oktoba 2014 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (The file Image:Hermann_Emil_Fischer.jpg has been replaced by Image:Убеншвуаншвышь.jpg by administrator commons:User:BrightRaven: ''Duplicate: Exact or scaled-down duplicate: [[commons::File:Убе...)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Hermann Emil Fischer

Hermann Emil Fischer (9 Oktoba 185215 Julai 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua usanisi wa glukosi (aina ya sukari). Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hermann Emil Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.