Nenda kwa yaliyomo

Liu Gang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:55, 12 Desemba 2016 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (Removing "Liu_Gang_on_the_Wanted_List.jpg", it has been deleted from Commons by Jameslwoodward because: per c:Commons:Deletion requests/File:Liu Gang on the Wanted List.jpg.)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Liu Gang (amezaliwa 30 Januari 1961) ni mwanahisabati, mwanafizikia, na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchi ya China.

Ni pia kiongozi wa harakati ya kuleta demokrasia nchini China.

Baada ya kupingwa, mwaka 1996 alihamia Marekani. Liu wamemaliza Chuo Kikuu cha Columbia, hasa alichunguza linear programu.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liu Gang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.