Nenda kwa yaliyomo

Ade Adekola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Amezaliwa 3 Machi 1966
Lagos
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchoraji na Mpiga Picha

Ade Adekola (alizaliwa nchini Nigeria, 3 Machi 1966) ni msanii mwenye fani nyingi kama kupiha picha, mchoraji, msanii wa nguo, msanii wa digitali, na mwandishi. [1][2][3] Anaishi Lagos. [4]

Ade Adekola alihitimu Shahada ya Usanifu mwaka wa 1992 kutoka Shule ya Usanifu huko London, na kupata mafunzo katika Chuo Kikuu cha Manchester kabla. [5] [6]

Viungo vya nje

Marejeo

  1. Dickson (2018-10-26). "Exhibition Detailing History of Lagos Bar Beach Opens Soon". Leadership News - Nigeria News, Breaking News, Politics and more (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
  2. Gonzalez, David (2014-10-27). "A Festival of Ideas and Photos in Africa". Lens Blog, The New York Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
  3. Textilforum. Textilforum e.V. Arbeitsgemeinschaft f. Textil, Vereinregister. 1994. uk. 30.
  4. "Nse Ikpe-Etim, William Coupon and Nere Teriba in latest Visual Collaborative SDG publication". The Guardian Nigeria News (kwa American English). 2019-12-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
  5. Adebambo, Adebimpe (2017-01-11). "Stripes, Weaves, and Colours". Omenka Online (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-19. Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
  6. O'Mahony, Marle; Braddock, Sarah (1994-09-01). Textiles and New Technology 2010 (kwa Kiingereza). Princeton Archit.Press. uk. 42. ISBN 978-3-7608-8434-9.