Nenda kwa yaliyomo

Papa Alexander VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Papa Aleksanda VIII.

Papa Alexander VIII (22 Aprili 16101 Februari 1691) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/16 Oktoba 1689 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Vito Ottoboni.

Alimfuata Papa Inosenti XI akafuatwa na Papa Inosenti XII.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.