Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu

Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu

Katika Makala ya Tuyajenge vijana wanaulizwa Unapambanaje na ukatili wa kijinsia?

Msafiri Mwajuma Mariam ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Usawa wa KIjinsia anasema Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu hivyo juhudi za Pamoja katika kutokomeza ukatili wa kijinsia zinahitajika.

Ili kufahamu mengi jiunge nasi katika kusikiliza Makala hii ya Tuyajenge.