'Nitafanya nini sasa wanangu wamesombwa mbali?'

Maelezo ya video, 'Nitafanya nini sasa wanangu wamesombwa mbali?'
'Nitafanya nini sasa wanangu wamesombwa mbali?'

Grishon Waiganjo amepoteza watoto wawili katika mafuriko ya hivi karibuni nchini Kenya ambayo yamesababisha maeneo mengi ya nchi kujaa maji na sasa anakabiliana kuzoea hali ya sasa

Mamia ya watu sasa wanafahamika kuwa wamefariki, huku wengine 200,000 wakiathirwa pakubwa na mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa kipindi cha wiki mbili mfulurizo.

Video na Anne Okumu