Nenda kwa yaliyomo

Discogs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Discogs
Discogs logo.svg.png
Kisaradiscogs.com
Aina ya tovutiMuziki
Lugha asiliaKiingereza, Kijerumani, Kihispania, Kiitalia, Kijapani, Kifaransa
MmilikiZink Media, Inc.
Imeanzishwa naNovemba 2000; miaka 23 iliyopita (2000-11)
Alexa rankincrease 587 (Global: December 2017)[1]
MapatoMatangazo (ukijisajili mtangazo yote yanaondoka), Eneo la soko ada za mwuzaji

Discogs (ni kifupi cha discographies) ni jina la wavuti inayokusanya taarifa mbalimbali kuhusu rekodi za sauti ikiwa ni pamoja na kutoa matoleo ya kibiashara, matoleo ya kuchochea mauzo, yaani promosheni, na rekodi ambazo zimetolewa bila urasmi. Seva yake kwa sasa inatumia jina la discogs.com, ambayo inamilikiwa na kampuni ya Zink Media, Inc., na ipo mjini Portland, Oregon, Marekani. .[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Discogs.com Site Info". Alexa Internet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-29. Iliwekwa mnamo 2017-12-10.
  2. "Explore on Discogs". Discogs. 25 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 25 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Discogs Contributors". Discogs.com. 15 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2018. contributor#: 407,945{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]