Filipina Duchesne
Mandhari
Roza Filipina Duchesne, R.S.C.J. (29 Agosti 1769 – 18 Novemba 1852) alikuwa mtawa wa Ufaransa, kati ya wale wa kwanza katika shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu[1] ambalo alilianzisha nchini Marekani[2].
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Mei 1940, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Julai 1988.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Catherine M. Mooney, Philippine Duchesne: A Woman with the Poor (NY: Paulist Press, 1999; rpt. Wipf & Stock, 2007)
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Network of Sacred Heart Schools
- International Society of the Sacred Heart
- Associated Alumnae and Alumni of the Sacred Heart Archived 14 Mei 2008 at the Wayback Machine.
- Catholic Online – St. Rose Philippine Duchesne
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |