Nenda kwa yaliyomo

Lobengula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Lobengula

Lobengula Khumalo (Septemba 1845 - Januari 1894) alikuwa mfalme wa pili na wa mwisho wa Wandebele (tawi la Wazulu katika nchi ambayo leo inaitwa Zimbabwe)

Jina "Lobengula" linamaanisha "Aliyekuwa mgonjwa".

Baba yake alikuwa Mzilikazi, ambaye alimtangulia Lobengula kama mfalme wa Wandebele[1].

Mama yake Lobengula alikuwa mke mdogo kwenye boma ya Mzilikazi, na Lobengula aliweza kumrithi baba yake kwa umaarufu wake katika vita.

  • Hensman, Howard (1900). A History of Rhodesia (PDF). W. Blackwood and Sons. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Burnham, Frederick Russell (1926). Scouting on Two Continents. Doubleday, Page. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Wills, W. A.; Collingridge, L. T. (1894). The Downfall of Lobengula: The Cause, History, and Effect of the Matabeli War. "The African review" offices. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • "LOBENGULA IN A TRAP.; Not Believed that the Matabele King Can Escape". The New York Times. 3 Novemba 1893. Iliwekwa mnamo 2016-08-18.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "SOUTH AFRICA: The Skull of Lobengula". TIME.com. 10 Januari 1944. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]