Nenda kwa yaliyomo

Mahamadou Diawara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahamadou Diawara (alizaliwa 17 Februari 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama kiungo klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]

  1. "Player". Ligue1 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahamadou Diawara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.