Nenda kwa yaliyomo

Samuel Akinbinu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Temidayo Feargod Akinbinu

Samuel Temidayo Feargod Akinbinu (alizaliwa 6 Juni 1999) ni mwanasoka ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Djibouti Arta/Solar7 na timu ya taifa ya Djibouti.

Ushiriki Katika Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 10 Januari 2018, Akinbinu alisaini mkataba na klabu ya Ligi ya Mpira wa Miguu ya Nigeria Rivers United. [1][2] pia Mnamo tarehe 19 Aprili 2018,Akinbinu ,Akinbinu alisaini mkataba na klabu ya Lobi Stars katika dirisha la uhamisho wa katikati ya msimu. .[3][4]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Akinbinu alipokea uraia wake wa Djibouti mnamo Juni 2021.

Arta/Solar7

  • Ligi Kuu ya Djibouti: 2020–2021, 2021–2022
  • Kombe la Djibouti: 2019–2020, 2020–2021, 2021–2022
  • Kombe la Super la Djibouti : 2020, 2022
  1. "Samuel Akinbinu". flashscore.com. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Rivers United unveil Aggrey, 14 others". theeagleonline.com.ng. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Djibouti vs. Somalia". espn.com. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Amical : Djibouti domine la Somalie". sportnewsafrica.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-09. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Akinbinu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.