Nenda kwa yaliyomo

Vladimir Vernadsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Volodymyr Ivanovych Vernadsky

Volodymyr Ivanovych Vernadsky (alizaliwa 12 Machi 1863 - 6 Januari 1945) alikuwa mwanakemia[1][2][3] wa Urusi,[4] na mwanakemia wa madini na mwanajiolojia wa Soviet ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa geochemistry, biogeochemistry, na radiogeology. Pia anajulikana kama mwanzilishi wa Chuo cha Sayansi huko Ukraina[5][6] (kwasasa kinajulikana kama Chuo Kikuu cha Taifa cha Sayansi cha Ukraina).[7] Amejulikana sana kwa kitabu chake cha 1926 The Biosphere. Ambapo alifanya kazi ya kueneza neno la Eduard Suess la 1885 kuwa maisha ni nguvu ya jiolojia inayoiunda dunia. Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Stalin.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Володимир Вернадський– найвидатніший природознавець ХХ століття Archived 4 Agosti 2020 at the Wayback Machine. tr. Volodymyr Vernadsky – The Most Familiar Nature of the XX Century at dspace.snu.edu.ua:8080, accessed 12 October 2020
  2. "Vladimir Ivanovich Vernadsky". European Geosciences Union (EGU) (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-14. Iliwekwa mnamo 2019-06-30. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Honoring Vladimir Vernadsky: Russian-Ukrainian Scientist's 150th Year Wraps Up". 2015-02-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 2019-06-30. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Большая российская энциклопедия: ВЕРНА́ДСКИЙ" [The Great Russian Encyclopedia: VERNADSKY]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-16. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Honoring Vladimir Vernadsky: Russian-Ukrainian Scientist's 150th Year Wraps Up". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Верна́дський Володи́мир Іва́нович Archived 1 Agosti 2017 at the Wayback Machine.. Універсальний Словник-Енциклопедія
  7. Samson, Paul R.; Pitt, David C. (1999). The Biosphere and Noosphere Reader: Global Environment, Society, and Change. London: Routledge. ISBN 978-0-415-16644-7.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Vernadsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.