Namna gani unaweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi?

Maelezo ya sauti, Jinsi unavyoweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi?
Namna gani unaweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi?
mm

Namna gani ya kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi ni miongoni mwa mijadala mikubwa inayoendelea ulimwenguni hata katika taifa la Tanzania.

Jitihada za kupanda miti na kutunza mazingira kwa wakulima ni moja ya harakati zifanywazo nchini humo.

Katika kuangazia hili kwa kina, makala ya Tuyajenge wiki hii inakuuliza ni kwa namna gani unaweza kujikomboa na mabadiliko ya tabia nchi?

Ungana na Noel Mwakalindile na Hannah Mbago kupata majibu?