Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kwenda anga za juu

Maelezo ya video, Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kuenda angani za juu
Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kwenda anga za juu

Mnamo 2022, Sara Sabry, Mmisri, alikua mwanamke wa kwanza Mwafrika (na mwanamke wa kwanza Mwarabu) kwenda anga za juu.

Alipokuwa mdogo, mwanaanga huyo mwenye umri wa miaka 31 na mhandisi angefikiria wazo la kwenda angani ni ndoto.

Anasimulia BBC jinsi alivyokiuka vizuizi na uwezekano wa wanawake kufika alipofika.