Uchaguzi wa Uingereza: Kwa nini Waafrika wanapaswa kuujali?

Maelezo ya video, Uchaguzi wa Uingereza: Kwa nini Waafrika wanapaswa kuujali?

Tarehe 4 Julai, wananchi wa Uingereza watapiga kura katika uchaguzi mkuu. Kushughulikia suala la uhamiaji suala linalopewa linalopewa kipaumbele cha kwanza katika orodha cha mambo anayofaa kuyafanya waziri mkuu mpya. Hili ni jambo ambalo litaiathiri sana Afrika na watu wa Afrika.

Lakini je kwa nini unapaswa kuwa makini kufuatilia kinachoendelea katika uchaguzi wa Uingereza?. Mtangazaji anaelezea masuala muhimu katika ufafanuzi huu.