Tumeboresha sera yetu ya faragha na vidakuzi au cookies
Tumefanya mabadiliko muhimu katika sera zetu za faragha na vidakuzi au cookies na tungependa ufahamu ina maana gani kwako na data yako.
'Tunawaangalia wezi wakiwachukua watoto wetu'
'Tunawaangalia wezi wakiwachukua watoto wetu'
Nigeria imekumbwa na matukio matatu ya utekaji nyara katika wiki moja iliyopita, huku utekaji nyara mkubwa zaidi ikifanyika Alhamisi iliyopita, ambapo zaidi ya watoto 280 walichukuliwa shuleni na watu wenye silaha Kuriga, katikaJimbo la Kaduna.
Mwandishi wa BBC Chris Ewokor amesafiri hadi Kaduna na kukusanya ushuhuda mkali kutoka kwa mama aliyekuwa akisubiri kwa hamu habari za mwanawe aliyetekwa nyara na mmoja wa wavulana waliofanikiwa kutoroka.