BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, Serikali mpya ya muungano ya Afrika Kusini yatangazwa
Kwa mara ya kwanza chama tawala cha ANC kina washirika wa muungano baada ya kupoteza wingi wa kura katika uchaguzi wa Mei.
Nilimtambua dada yangu kwenye video ya wakimbizi waliotekwa vitani Sudan
Raia wa Eritrea wameiambia BBC kwamba jamaa zao wanazuiliwa bila ya mawasiliano na wanajeshi wa Sudan.
'Sina damu mikononi mwangu,' asema Ruto
“Nina kazi ya kufanya. Wananchi wako huru kushiriki katika mazungumzo wanayotaka lakini hayo ni matunda na dalili za demokrasia,”
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 01.07.2024
Liverpool, Arsenal na Chelsea zinamtaka mlinzi wa Bologna Riccardo Calafiori, Brighton waponyokwa na mchezaji wanayemlenga huku Manchester United ikionyesha nia ya kutaka kumnunua beki wa Barcelona.
Kufariki dunia pamoja: Kwa nini wanandoa hawa waliamua kukatiza maisha yao
Jan na Els walitafuta usaidizi wa kimatibabu ili kukatisha maisha yao baada ya miaka 50 yenye furaha ya ndoa
Nani anaetunza funguo za Al-Kaaba mahali patakatifu kwa Waislamu?
Ijue historia ya funguo za kibla cha Waislamu, Al-Kaaba ya Makka
Je, machozi ya wanasiasa huwaweka karibu na wananchi?
Wapo wanaoamini machozi haya ya mbele ya kamera ni ya uongo. Ingawa Harry, anaamini ni machozi ya kweli.
Nchi ambazo kuna unywaji pombe zaidi duniani
Shirika la Afya Duniani, WHO linasema kuwa watu milioni 2.6 hufariki dunia kutokana na unywaji pombe kila mwaka.
M23 wauteka mji wa Kanyabayonga mashariki kwa DR- Congo
Waasi hao walichukua udhibiti wa maeneo mawili kabla ya kuuteka Kanyabayonga, mji muhimu ulioko kati ya vituo vikuu vya kibiashara vya Butembo na Beni kaskazini mwa nchi hiyo.
Maandamano Kenya: Ukweli kuhusu farasi wa polisi walioibiwa, na habari nyingine za kupotosha
Moja ya mifano ambayo wengi hawakuweza kubaini ilikuwa ya kupotosha ilikuwa ni madai kwamba mwandamanaji mmoja alikuwa amefanikiwa kutoroka na farasi wa polisi.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Muswada wa fedha 2024:Mahakama yazuia Polisi kutumia maji, mabomu ya machozi dhidi ya waandamaji Kenya
Polisi wamepigwa marufuku kutumia maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, risasi za moto, risasi za mpira, au silaha nyingine yoyote dhidi ya waandamanaji wanaopinga Muswada wa Fedha wa 2024 ulioondolewa sasa.
Mbunge aliyeunga mkono Muswada wa fedha Kenya aeleza alivyookolewa na Gen Z
Mbunge mteule Jackson Kosgei
Jinsi zana hizi tatu zilivyotumiwa na Gen Z kuishinikiza serikali ya Kenya
Jinsi vijana wa Kenya walivyotumia simu,intaneti na mitandao ya kijamii kusikilizw ana rais William Ruto
Nyoka aliyezaa watoto 14 bila kupewa mimba na mwenza
Nyoka ambaye amekuwa akidhaniwa kuwa dume kwa miaka mingi amezaa watoto 14 bila ya kujamiiana.
Jinsi nguvu ya Gen Z ilivyomlazimu rais wa Kenya kunyenyekea
Matukio ambayo yalisababisha William Ruto kuachana na bajeti yake huenda baadaye yakaonekana kama wakati muhimu, sio tu kwa rais wa Kenya lakini pia kwa nguvu ya vijana.
Biden v Trump: Wana mitazamo gani kuhusu Urusi, China, Ukraine na Israeli-Palestina?
Wamarekani wanakaribia kumchagua rais wao ajaye, uchaguzi huo unafuatiliwa karibu kote ulimwenguni. Kwani sera za nje za Marekani, huathiri sehemu mbalimbali za dunia.
Kwa nini tunapenda wanyama wenye sura mbaya?
Kila mwaka majaji huko California huchagua mshindi wa shindano la Mbwa Mbaya Zaidi Duniani - lakini kwa nini baadhi wa watu hupenda wanyama wasiovutia?
Mgomo Tanzania: Serikali, wafanyabishara wafikia maazimio 15 mikoa 9 ikiathirika
Hatua hii imekuja huku mgomo wa wafanyabiashara wenye maduka nchini Tanzania ukishuhudiwa katika baadhi ya miji mikubwa yakiwemo majiji mengi
Mpox ni nini na hueneaje?
Aina mpya ya virusi vya mpox inaenea kwa haraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na wataalamu wanasema ni aina hatari zaidi waliyoishuhudia.
Waridi wa BBC: ‘Sitasahau ule wasiwasi uliopitiliza wakati wa kesi ya sheria ya ndoa Tanzania’
January 2016 Rebeca Gyumi aliteka vyombo vya habari baada ya kufungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa vinavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.
Haiti yaapa kurejesha utulivu kwa usaidizi wa kikosi kinachoongozwa na Kenya
"Matumizi madhubuti ya nguvu" yanahitajika kukabiliana nao, unasema Umoja wa Mataifa, ambao umeidhinisha ujumbe wa polisi unaojumuisha maafisa 2,500 kutoka mataifa mbalimbali
'Watu wengi hufikiri najitesa-lakini natimiza ndoto yangu'
'Usikatishwe tamaa na vikwazo - kila safari huanza kwa hatua moja'
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Julai 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Julai 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Julai 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Juni 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki